Breaking News!!! KANISA KATOLIKI JIMBO KUU LA TABORA LANUSURIKA KULIPULIWA
Friday, April 04, 2014
Kanisa
Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira
ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye
alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha
shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo
haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo
ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na
kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.PICHA KWA HISANI YA KAPIPIJ BLOG
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin