ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.
Social Plugin