ASKARI WA JWTZ WAMSHAMBULIA TRAFIKI KWENYE MATAA YA UBUNGO JIJINI DAR
Saturday, October 20, 2012
Wanajeshi
wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za
ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni, baada ya
kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja
maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.
Social Plugin