Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CCM YASHINDA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MWAWAZA-SHINYANGA


 Wananchi wa Kata ya Mwawaza katika Manispaa ya Shinyanga leo wamepiga kura kumchagua diwani mpya kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo Charles Magina wa CCM kufariki dunia mwaka jana.

Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Juma Malale Nkwabi amepata kura 761 huku wa CHADEMA Anthony Peter Mhola akipata kura 599 na  TADEA Genea Ganja Alfred akipata kura 1.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com