RAIS JAKAYA KIKWETE AZIMA MWENGE MKOANI SHINYANGA Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu. Sherehe za kuzima mwenge zilifanyika mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012 Rais Jakaya Kikwete akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa mwaka 2012 Captain Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuzima mwenge zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012. wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkukangara.(PICHA NA MDAU EMMANUEL MWAMPISHI SHINYANGA)
Sunday, October 14, 2012
Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya
Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya
kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu.
Rais
Jakaya Kikwete akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa
mwaka 2012 Captain Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuzima mwenge
zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga tarehe
14.10.2012. wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin