SHUHUDIA
Twende garini.....
Akaaaa sio mimi jamaniiiiiii, Babu (kulia} akijitetea...
Askari wakimdhibiti babu...
Babu akishuhshwa garini kuingizwa kituoni.....
Mgambo wa kike akipambana na kijana kumburuta kumpeleka garini, baadaye mgambo huyu CHALIII
Mgambo chaliii,lakini wapi anaye tuuuu....
Watuhumiwa wakipandishwa garini....
Watuhumiwa wakipandishwa garini....
Watuhumiwa wakipandishwa garini....
Jamaa akijaribu kueskep ambapo alikula bonge la mtama na kutambaa kama hivi na kudakwa na mgambo wa kike....
Maeneo ya Posta nako hali haikuwa shwali sana, ulinzi uliimalishwa kama hivi...
Babu panda gari haraka......
Kijana twende ohooooo.....
Maeneo ya Kariakoo njia na barabara zote zilikuwa nyeupeeee kama hivi...
Njia zote za kwenda na kurudi yalikuwa yakitamba magari ya polisi tu.
Askari wakikagua paspoti ya Raia wa kigeni, ili kumruhusu kupita maeneo hayo....Posta mpya.
Njia zilifungwa kama hivi....
Daladala ziliamuliwa kubadili na kupita njia nyingine.....
Abiria wengi walikwama usafiri....
wengine waliamua kutembea kwa miguu....
Askari wa doria ya pikipiki wakikatiza katika mitaa ya Posta Mpya....
Askari wa Mbwa wakiimarisha ulinzi.
FFU wakizunguka maeneo ya Kariakoo leo huku wakitumia kipaza sauti kuwataka wananchi wote kurejea majumbani kwao |
Hili ni eneo la Msimbazi ambalo kwa kawaida huwa kuna msongamano mkubwa wa watu |
Eneo la mzunguko wa Kariakoo ambalo jiupe kama unavyoliona hapa |
Hapa sio maduka yamefungwa muda umepita ama wahusika wamefiwa hapana ni baada ya vurugu kutokea |
Hii ni kariakoo sio biashara mbaya ni usalama hakuna |
ingekuwa vipi kama kariakoo kila siku kungekuwa hivi?
source.THIS DAY MAGAZINE
Social Plugin