Asante sana Mwenyezi Mungu.
Nakushukuru Mama yangu, Baba.
Asante kwako wewe uliyeniwezesha kufika hapa.
Natafuta neno zaidi ya Asante sioni. Nashukuru sana.
Asante, Asante tena na tena..
Imeniwia vigumu sana kuamini lakini
sina cha kusema zaidi ya kukushukuru wewe kwa kuniwezesha. Kura zako
ndio zilikuwa jaji Hongera..
Hii ni kauli ya waltel chilambo kupitia blog yake
|
Social Plugin