Waziri
wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe wakati akijibu swali bungeni leo
bungeni na kudai kuwa wafungwa walipoteza uhuru wao na hivyo wafungwa
walikuwa hawana haki kisheria ya kufanya tendo la ndoa na wenza wao wan
doa. Amedai kuwa wafungwa wakitumikia adhabu ya kunyimwa tendo la ndoa ni moja ya adhabu kwa wafungwa. Jibu hilo liliwaacha wabunge wakilalamika na kusema adhabu hiyo milikuwa ikipingana na haki ya binadamu.(Picha na Maktaba
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachaweme (kushjoto) akiteta
jambo na Waziri wa Zamani wa wizara hiyo William Ngeleja. Simbachawene
amedai leo bungeni kuwa hali ya umeme ilikuwa nzuri hivyo wananchi
waendelee na shuguli za maendeleo kama kawaida.
source:Dodomayetu
Social Plugin