ASKOFU
BALINA ENZI ZA UHAI WAKE
|
VIONGOZI
WA DINI WAKIFUATILIA IBADA YA MAZISHI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA KANISA LA MAMA MWENYE HURUMA NGOKOLO MJINI SHINYANGA
|
KATIKATI
NI MAMA WA MAREHEMU ASKOFU BALINA BIBI TERESIA NIGO MWENYE UMRI WA MIAKA ZAIDI
YA 90 LEO KATIKA KANISA LA MAMA MWENYE HURUMA LA NGOKOLO MJINI SHINYANGA
WA
PILI KUTOKA KUSHOTO NI MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI,AMBAYE PIA NI NAIBU
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE
IBADA
INAENDELEA
IBADA
INAENDELEA KANISA LIMEJAA WENGINE WAKO NJE
RAIS
KIKWETE AKITOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI LEO
KABURI
LAKE KABLA YA MAZISHI
KATIKATI
NI JENEZA LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU ASKOFU BALINA
|
MAZISHI
YANAENDELEA
|
MAZISHI
YANAENDELEA
|
SHUGHULI YA KUWEKA MASHADA INAENDELEA |
WALIOHUDHURIA MAZISHI WAANZA KUTAWANYIKA BAADA YA MAZISHI PICHA ZOTE NA MALUNDE KADAMA
MSIMAMIZI WA JIMBO ATEULIWA
Baba
Mtakatifu Papa Benedicto wa 16 amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza
Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi kuwa msimamizi wa kitume wa Jimbo la Shinyanga ,mpaka
atakapoteuliwa Askofu mwingine,kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu wa Shinyanga
Aloysius Balina aliyefariki dunia Novemba 6 2012.
Kwa mujibu
wa barua ya Baba Mtakatifu iliyosomwa leo na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Askofu
Mkuu Fransisco Padila na kufuatia uteuzi huo, Askofu Mkuu Ruwaichi amemteua
Padre Sospita Shole ,ambaye ni paroko wa
parokia ya Shinyanga Mjini kuwa mratibu wa shughuli zote za kanisa jimboni.
Mazishi ya aliyekuwa
Askofu wa jimbo Katoliki la Shinyanga marehemu Aloysius Balina yamefanyika leo
katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma la Ngokolo Mjini Shinyanga na
yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini,vyama vya siasa na serikali
akiwemo rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Social Plugin