Kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika ni nini.katika Kijiji cha Ruganzo kata ya Kibimba wilayani Ngara |
Pichani,Ni kitu kisichofahamika ni nini. Kitu hicho kilidondoka kutoka
angani hadi ardhini Usiku wa Jumatano august 21 kuamkia Alhamisi august
22 majira ya saa nane Usiku.
Kutokana na kishindo kikubwa kilichopelekea
hali inayofanana na tetemeko la ardhi,wakazi wa Ngara wamekuwa na wasi
wasi mkubwa,.
Wapo waliodhani kuwa kitu hicho ni Kombora la masafa
marefu lililorushwa kutoka nje ya Nchi,wapo waliodhani kuwa ni
Kimondo,wapo pia wanaodhani kuwa ni Satelite!
Majibu yatatolewa katika
Ripoti itakayotolewa na timu/kikosi cha wanajeshi wa naohusika na
masuala ya Mlipuko.
Tayari kikosi kutoka Biharamulo kimeagizwa
SOURCE: NGARAKWETU
Social Plugin