Mkuu wa Wilaya ya Muheza pamoja na Jeshi la Polisi la mkoani Tanga
limetangaza kuwa baadhi ya vitu vya marehemu Sharo Millionea ambavyo
alivyokuwanavyo wakati wa ajali vimepatikana.
Vitu hivyo ni pamoja na
Simu.Battery ya Gari,Viatu,T-shirt,Jeans,Pete,Cheni na Tairi moja ya
gari.
Vitu hivyo vimerudishwa na polisi jamii ambao ni wazazi wa wezi
hao.
Aidha pamoja na vitu hivyo kupatikana Jeshi la Polisi bado
linaendelea kufanya msako wa kuwapa hao vijana ambao ndo wanasadikika
kuwa ndo wezi wenyewe.
Social Plugin