Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MUME WA MTU SUMU...MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE

Mwanake  mmoja  nchini Zimbabwe amekumbwa  na  balaa  la  mwaka  baada  ya  kupoteza  VIUNGO  VYAKE VYA  SIRI ( Uke)....
Mwanamke  huyo  alikumbwa  na  balaa  hilo usiku wa kuamkia  tarehe  29 mwezi wa  nne  mwaka  huu...
Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia,  mwanamke  huyo  alimka usiku  na  kuelekea  chooni  kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa  kuona  mkojo  hautoki.Alipojichungulia,Ikulu  ilikuwa  IMEZIBWA..!!!
Taarifa  zinadai  kwamba, mwanamke  huyo alizimia  pale pale. 
Kwa mujibu  pia wa   mtandao  wa Zimbabwean  ambao  nao  umeripoti  kuhusu  tukio  hilo,  mwanamke  huyo  anadaiwa kuwa na tabia  chafu  ya  kutembea  na  waume  za  watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera  wanawake wenzie...
Mtandao  huo  umedai  kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai  alimpa  ONYO kali mgoni  huyo  baada  ya  kugundua  kuwa  anatoka  kimapenzi  na  mume  wake  na  kumtaka  aache  mara  moja...
Baada ya  siku chache  kupita  tangu onyo hilo  litolewe, mwanamke  huyo alijikuta amenyofolewa  nyeti  zake....
Source: standardmedia
Shukrani kwa Dj Teddy

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com