Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAKABURI YA NGOKOLO A MJINI SHINYANGA YAGEUZWA DAMPO LA TAKA, WENGINE WAFANYA MAPENZI MAKABURINI

Tangazo eneo la makabauri ya siku nyingi ya Ngokolo A katika kata ya Ndembezi ndani ya manispaa ya shinyanga

Japokuwa kuna tangazo lakini mifugo inachungwa

Hapa ni makaburini uchafu umetupwa

Wale wenye imani za kishirikina pia wanafanya yao

Haya ni makaburi ya siku nyingi sana kama unavyoona

Mwenyekiti wa mtaa wa mbuyuni kata ya Ndembezi Ndugu Chief Abdallah Sube akiangalia jinsi makaburi yalivyogeuzwa dampo la taka na wengine wakiona eneo hilo ndio sehemu ya kufanyia mapenzi: PICHA ZOTE NA KADAMA MALUNDE

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com