UPDATE: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO CHUONI HAPO AFARIKI DUNIA
Saturday, June 22, 2013
HABARI
zilizotufikia hivi Punde zinasema kwamba mwanafunzi ALEX ROBERT wa chuo
kikuu DAR ES SALAAM (UDSM) amefariki dunia mchana huu katika HOSPITALI
YA TAIFA YA MUHIMBILI ambapo alikuwa amelazwa kutokanana kujeruhiwa na
risasi ambyo alipigwa na majambazi waliomvamia akiwemo yeye pamoja na
wenzake watatu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin