Viongozi mbalimbali wa mkoa wakiwa eneo la mnara wa mshujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya mashujaa kimkoa mapema leo |
Viongozi mbalimbali mbele ya mnara wa mashujaa tayari kwa kuweka silaha za jadi na mshada ya maua ili kuwakumbuka mashujaa waliokufa kwa ajili ya watanzania |
Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ally Nassoro Rufunga akiweka mkuki na ngao katika eneo la mnara wa mashujaa |
Mzee Mungo Mbushi mkazi wa shinyanga mmoja ya mashujaa wa tanzania baada ya kuweka silaha ya jadi |
Mkuu wa wilaya shinyanga Anna rose Nyamubi akijiandaa kuweka shada la maua |
Aliyeshikilia shada la maua ni mkuu wa wilaya ya kishapu Wilson Nkhambaku |
Social Plugin