Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
...Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema.
Watu waliokusanyika kumshangaa.
BIBI mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, jana
majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam
alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi
wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama
anavyoonekana pichani.
source mpekuzi
Social Plugin