MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY NASSORO RUFUNGA AZINDUA BARAZA LA BIASHARA LA MKOA
Thursday, September 26, 2013
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Ally Nassoro Rufunga akizungumza mapema leo wakati wa kikao cha baraza la Biashara la mkoa wa Shinyanga,kilchofanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa na kukutaninisha wajumbe 40 kutoka sekta binafsi na umma.Ni kikao cha kwanza kufanyika tangu kufanyika kikao cha mwisho cha baraza hilo mwaka 2009 na leo mkuu huyo wa mkoa amezindua/kuamsha baraza hilo
Wajumbe wa baraza la biashara la mkoa wakifuatailia hotuba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga,ambapo mkuu huyo wa mkoa aliwataka wafanyabiashara katika mkoa wa shinyanga na nchi kwa ujumla kujitokeza kuwekeza ndani ya nchi badala ya kutegemea wawekezaji kutoka nje ya nchi kwani maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe
Baraza linaendelea
Waandishi wa habari wakichukua mawili matatu katika baraza hilo la biashara mkoa wa shinyanga lililokuwa limelala kwa muda wa miaka 4
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin