Katikati ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga,katika moja ya dampo la taka,ndege maarufu kwa jina la NDEGE MWARABU,wakijitafutia chakula huku wakazi wa mji huo nao wakijitafutia kile wanachofikiri ni sahihi kwao kuchuma kutoka katika jalala hilo lililoko mjini Kahama
Utafutaji unaendelea
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin