Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ZAIDI YA MILIONI 212 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA KANISA LA AICT PASTORETI YA KAHAMA MJINI

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mheshimiwa Edward Lowasa akiwasili katika katika viwanja vya kanisa la AICT pastoreti ya Kahama mjini wakati ibada ya harambee ya ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo hapo jana

Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja katikati ni Lowasa kushoto ni Askofu wa kanisa AICT dayosisi ya Shinyanga John Nkola

Kwaya ya AICT SEGESE ikiimba hapo jana

Harambee inaendelea ambapo
zaidi ya milioni 212 zimepatikana ambapo malengo yalikuwa milioni 150 na katika harambee yeye alichangia shilingi milioni tano.

Wafanyabiashara mjini Kahama  wakichangia na kushikana mkono na mheshimiwa Lowasa


Waumini katika viwanja vya KANISA LA AICT MJINI KAHAMA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com