Kata ya Didia Katibu mkuu wa CCM taifa Abdulrahman Kinana
akiwa amebeba nyoka wakati ngoma ya kisukuma ikichezwa ikiwa ni wakati wa
ziara yake hapo jana katika wilaya ya Shinyanga vijijini
Hapa anashriki katika ujenzibirika la maji ya kunyweshea mifugo katika kata hiyo ya DIDIA,Katikati ni Katibu wa siasa,itikadi na uenezi CCM taifa Nape Nnauye kushoto ni mbunge wa jimbo la solwa Ahmed Ally Salum
wakazi wa Didia katika eneo la mradi wa soko
Viongozi wakiwasili eneo la mkutano wa hadhara katika kijiji cha Songambele kata ya Salawe jimbo la solwa
wananchi wakifuatilia hotuba ya KINANA
FISI...ikiwa ni sehemu ya burudani katika eneo la mkutano
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin