KIKAO CHA USHAURI WA MKOA (RCC) CHAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA
Thursday, October 31, 2013
Awali mkuu wa mkoa Sinyanga Ally Nassoro Rufunga akifungua kikao hicho cha ushauri wa mkoa- RCC katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa mjini Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine aliwakumbusha wakulima wa pamba kuwa kalenda ya kilimo inaanza Novemba mosi mwaka huu
Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nkambaku akifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga
Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho akichangia kuhusu sekta ya elimu ambapo aliitaka serikali kuwachukulia sharia walimu wasio waaminifu wanaopewa pesa ili kuficha maovu ikiwemo wanafunzi kuolewa au kupewa mimba wangali wako shuleni
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin