ANGALIA HAPA PICHA ZA MAKAHABA NA WATEJA WAO WALIOKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM
Saturday, November 16, 2013
Wanawake
wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es
Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni.
Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa
Kinondoni. Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin