MAKAHABA WATUMIA ARVS BADALA YA KONDOMU KUFANYA NGONO ZEMBE

Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV.
Dawa hizo zinazojulikana kama PEPS, zinapaswa kupewa mwathiriwa baada ya daktari kuthibitisha kuwa kweli yuko katika hali ya hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV, na hutolewa tu na wataalamu wa matibabu ya HIV.
Lakini mwandishi wa BBC Zainab Deen aligundua kuwa wanawake makahaba wamegundua njia za kupata dawa hizo.
 
BBC

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post