MAMIA DAR WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT SENGONDO MVUNGI KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

 Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa.



Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa
 Mashada ya maua na picha ya marehemu
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.


Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Sinde Warionba akiongea machache wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
 Makamu wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angela Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
Misa wakati wa shughuli hiyo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif Hamad akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu
Naibu Waziri wa Katika na Sheria,Mh. Angella Kairuki akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Augustine Ramadhan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha akiambatana na Mh. Hamad Rashid wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mh. James Mbatia na Mkewe wakitoa heshima za mwisho
Mh. Stephen Wassira akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu
Waziri wa Nishati na Madini,Mh. Prof. Sospeter Muhongo akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Uchukuzi,Mh. Mwakyembe.
Inspekta Jenelari wa Polisi,Said Mwema.
Kamanda Kova.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenela Mukangara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Mwenyekiti wa Chama cha CUF,Prof. Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe












Familia ya Marehemu.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post