Kituo
cha matibabu ya vidonda vya tumbo Cha Rahabu Ulcers Clinic Centre Cha
jijini Dar es Salaam, kimemkabidhi tuzo ya heshima Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa kwa kutambua mchango wake mkubwa
katika jamii.Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Kituo hicho,Dk. Rahabu
Rubago(katikati) akimkabidhi Mh Lowassa tuzo hiyo.Kulia ni Meneja Mkuu
wa Kituo hicho Catherine Kahabi.
chanzo blogszamikoa
chanzo blogszamikoa
Social Plugin