Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA JINSI KIUNO KILIVYOGEUZWA USAFIRI-SIMIYU

Pengine waweza kushangaaa lakini ndiyo hali halisi ya maisha ya watanzania katika baadhi maeneo usafiri bado ni kitendawili.Mwanamke ambaye hakuweza kufahamika mara moja jina lake katika kijiji cha Makao wilaya ya Meatu mkoa mpya wa Simiyu akiwa amebeba kuni mgongoni/kiunoni akitokea  kutafuta kuni porini.Kipande cha nguo kimezungushwa kiunoni halafu safari inaendelea-Picha na Emmanuel Mpanda

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com