TAZAMA UZEMBE HUU,GARI LATUMBUKIA MTARONI

Ni katika eneo karibu na soko kuu la mjini Shinyanga gari ikiwa imetumbukia kwenye mtaro,waliokuwa katika eneo la tukio waliuambia mtandao wa malunde1.blospot.com kuwa dereva wa gari hiyo hakuwa makini wakati akiingia main road akajikuta gari lake likiingia mtaroni na kulazimika kutoa shilingi elfu kwa watu wenye nguvu zao  ili kunasua gari yake

Mwenye suti karibu na gari ndiyo aliyekuwa anaendesha gari hiyo,akitafakari namna ya kuondoa gari yake mahali hapo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post