AMA KWELI POMBE NI NOUMAAAA!! TAZAMA JAMAA HUYU KILICHOMKUTA BAADA YA POMBE KUPANDA KICHWANI

Hii ndiyo njia iliyotumika kumbeba mlevi huyu
Ukisikia pombe ni noumaaaa basi huu ndiyo mfano halisi huu ,jamaa amekunywa pombe kupita kiasi hadi kasahau njia ya kwenda kwake .Kalewaaa mpaka netiweki kichwani mwake ikawa haisomi kasahau njia ya kwenda kwake ,mbele haoni anaanguka mpaka kutembea anashindwa mwisho kabebwa kwa style hii kurudishwa kwake.,nomasana kunyweni kwa kiwango kinachotakiwa!!!!!
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni hawachelewi kukufanyia vitu vya aibu!!!!!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post