HAPA NDIYO STUDIO ZA RADIO KAHAMA FM ZINAHAMIA MWISHONI WA MWEZI HUU,TAZAMA PICHA ZA JENGO JIPYAAAA
Friday, December 27, 2013
Muonekano wa jengo jipya la Kahama fm kwa mbele
Studio za Radio Kahama fm zitahamishiwa rasmi tarehe 30/12/2013 siku ya Jumatatu kama unavyoona ni jengo jipyaaa liko eneo la mtaa wa Nyahanga mjini Kahama na ukitaka kufika pita barabara ya polisi kwenda juu Nyahanga angalia mkono wa Kushoto utaona jengo hilo.Kila kitu kimeshakamilika taarifa za uzinduzi rasmi zitawajia
Muonekano wa jengo kwa nyuma
Muonekano kwa pembeni kidogo
Credit Dunia Kiganjani blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin