Hapa ni katika eneo jinmgine ndani ya soko la Ngokolo mitumbani ambapo malunde blog ilifanikiwa kupita katika soko hilo hilo pendwa kwa wakazi wa shinyanga |
Ndani ya soko hilo uchafu ni jambo la kawaida kabisa |
Dada hapo mbele mmoja wa wakazi wa shinyanga aliyekuwa katika soko hilo akijaribu kukwepa maji /matope ndani ya soko hilo
Hali ni tete,ukiteleza kidogo tu lazima uogelee
Biashara inaendelea |
Nje ya soko hilo |
Social Plugin