Ajali Tena!! WATU 13 WAPOTEZA MAISHA SINGIDA BAADA YA NOAH WALIYOKUWA WANASAFIRIA KUGONGANA NA LORI
Monday, January 20, 2014
Watu 13 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wanasafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso na lori eneo la Isuna. Watu hao walikuwa wakisafiri kutoka Itigi kwenda Singida mjini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin