Marehemu
Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake.
Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji
wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga
amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Taarifa zinadai kuwa Kenneth amekutwa amefariki akiwa amekaa kwenye
kochi wakati akiangalia televisheni kwa kuwa televisheni hiyo imekutwa
ikiendelea kuonesha vipindi
Mipango ya mazishi ya
Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya
Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina!!!
Chanzo Eddy Blog
Social Plugin