Muonekano wa choo kinachotumiwa na wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Bugoyi B iliyopo mjini Shinyanga |
Muonekano wa ndani wa choo hicho |
Hiki ndiyo choo kinachojengwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Msingi Bugoyi B iliyoko mjini Shinyanga ambapo pamoja na changamoto ya choo wanafunzi bado wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati |
Ujenzi wa vyoo unaendelea kama unavyoona |
Ujenzi unaendelea |