Hii
ni ajali mbaya iliyohusisha basi la kampuni ya Penguin linalofanya
safari zake kati ya Makete - Njombe, baada ya kugongana na toyota land
cruiser jana Jumamosi Februari 22, katika kijiji cha Mang'oto wilayani
Makete
basi
hilo lilikuwa likitokea Njombe kwenda makete, hadi mwandishi wa Eddy blog
ambaye pia amenusurika kwenye ajali hiyo anaondoka eneo la tukio, hakuna
vifo ila baadhi ya abiria wamepata mchumbuko na wengine kukatwa na vioo
(majeraha madogo madogo)
Social Plugin