Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,anayeishi Mwananyamala Dar es salaam ambaye anasemekana kuwa ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana yaani 2013 amekutwa amejichoma kisu shingoni.
Kufuatia tukio hilo mwanafunzi iyo amekimbizwa hospitali.
Chanzo cha tukio hilo kinasemekana kuwa ni matokeo yake ya
kidato cha nne yaliyotangazwa jijini Dar es salaam,ambapo inasemekana matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata
ziro...
Credit-Bongoclantz
Social Plugin