Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava leo hii wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM leo hii na mwenyekiti wa CCM taifa DKt Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Sikukuu za maadhimisho ya miaka 37 ya CCM jijini Mbeya
Social Plugin