Shamra shamra baada ya waliokuwa nmadiwani wa Chadema kuonekana katika eneo la mkutano wa CCM mjini Shinyanga |
Sebastian Peter akikabidhi kadi ya CHADEMA kwa Nape Nnauye |
Awali wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama cha mapinduzi CCM jioni ya leo,Katibu wa siasa na uenezi CCM taifa Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Shinyanga katika viwanja vya mahakama ya mwanzo eneo la Nguzo Nane mjini Shinyanga.Kushoto ni mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini,ambaye pia ni naibu waziri wa madini Stephen Masele.
|
Kombati za CHADEMA walizokuja wakiwa wamevaa wazivua na kuzichoma moto hadharani kama unavyoona zikiteketea kwa moto |
Ndani ya gari la CCM Sebastian Peter na Zacharia Mfuko wakiondoka eneo la mkutano wameshavaa nguo za CCM kama unavyoona |
Hili ndiyo gari waliyoondoka nayo wanachama hao wapya wa CCM katika eneo la mkutano mjini Shinyanga huku maswali mengi yakiendelea kubaki kwenye vichwa vya wananchi wa mkoa wa Shinyanga kuhusu maamuzi hayo waliyofikia kwa kukiona chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA si kitu tena pamoja na kwamba walikisifia kwa maneno matamu mwaka 2010 na kufanikiwa kupata kiti cha udiwani,lakini pia wengine kujiuliza kwanini wafanye vile wakati walikuwa wamebakiza muda mfupi tu kumaliza kazi waliyokuwa wamepewa na wapiga kura wao!!! |
Social Plugin