Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HABARI PICHA!!! CHADEMA WAANZA KAMPENI ZAO JIMBO LA KALENGA KUSAKA UBUNGE

makumbusho_a0aac.jpg
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo
mvua_6aa63.jpg
Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha

kumnadii_f8eb3.jpg
Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga-picha kwa hisani ya Dj-sek blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com