Washiriki wa mafunzo juu ya ukatili wa kijinsia wakifanya kazi ya kikundi kama walivyoelekezwa na mwezeshaji kuhusu uelewa wao kuhusu ukatili wa kijinsia katika jamii |
Semina inaendelea ambapo pamoja na mambo mengine mafunzo hayo yatawawezesha waandishi hao wa habari kuandika habari zao kwa kuzingatia usawa wa kijinsia katika jamii |
Washiriki wa semina hiyo ya siku tatu iliyoanza leo wakijadili mawili matatu kuhusu mambo ya ukatili wa kijinsia ambapo mafunzo hayo yanaendeshwa na Chama Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) |
Washiriki wa semina wakifuatilia kwa makini walichokuwa wanakijadili katika kikundi chao |
Bi Veronica Natalis kutoka Radio Faraja fm stereo akiwasilisha kazi ya kikundi chao kuhusu ukatili wa kijinsia katika semina ya siku tatu iliyoanza leo kwa waandishi wa habari mjini Shinyanga |
Social Plugin