Wajumbe wa mkutano mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga wametegua kitendawili cha nani kati ya makada 13 atakayevaana na CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani wake wa karibu Grace Tendega huku Zuberi Mwachura akiambulia 0 katika uchaguzi huo matokeo zaidi jioni ya leo
Social Plugin