Waandishi wa habari watatu, wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi huko Beni Kivu kaskazini baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF katika mbuga ya wanyapori ya Virunga.
Waandishi wa habari hao ni pamoja na Hangi wa redio muungano Oicha , SUBIRI PATIENT wa redio semuliki Beni NA KENEDY wa redio OICHA.
Mmoja kati yao hali yake ni mbaya, na wawili wanaendelea vyema.
Mungu waponye.
MUNGU IBARIKI TAALUMA YA HABARI.
Social Plugin