Hii balaa kweli kweli!!! WANANCHI WAWAOGESHA HADHARANI MAKONDAKTA WASIOOGA,WADAI WANANUKA NA KUATHIRI BIASHARA
Saturday, February 15, 2014
Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita.
Makonda hao wawili walilazimishwa kuoga hadharani kwa kile kinachaodaiwa kuwa walikuwa wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara.
Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni suala la lazima
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin