Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KIJANA AUA MAMA YAKE KWA JEMBE HUKO KAHAMA


Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.Habari kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com