Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya
kijana mmoja kuchukua maamuzi magumu juu ya maisha yake kwa kuamua kujitega kwenye njia ya treni na kupoteza maisha papo hapo.
Kijana
huyo ambaye jina na chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka
sasa aliamua kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika
mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi wa tukio hili na utambuzi wa ndugu wa marehemu.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi wa tukio hili na utambuzi wa ndugu wa marehemu.
Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema.... "Kama kijana huyu alifikia uamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na hata kabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"
Social Plugin