MAKAO MAKUU YA CHADEMA JIJINI DAR ES SALAAM YANUSURIKA KUCHOMWA MOTO
Tuesday, February 11, 2014
Usiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea kwa moto baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kulipua ofisi za makao hayo.
Tazama hapa chini video inayomuonyesha Katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa akielezea tukio hilo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin