Makubwa haya!!! JAMAA AMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI MKE WAKE KISA KUTOMFUNDISHA FACEBOOK
Tuesday, February 25, 2014
Katika hali ya kustaajabisha jamaa mkazi wa Bujumbura nchini Burundi ampa mkewe kichapo kisa hamfundishi kutumia facebook, sasa jamani kwa style hii mbona ni hatari
sana maana tutauwa wake zetu maana kampa kichapo haswa mpaka kumtishia
kifo....
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin