Mbunge wa
Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen
Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa
Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na kuwaongezea mtaji
wa biashara yao.
Wakina Mama
Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakishangilia
jambo wakati wa hotuba ya Mbunge wao Ndugu Stephen Masele,kwenye ukumbi
wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana
Wakina Mama Lishe
ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakipeana mikono na
Mbunge wao Ndugu Stephen Masele baada ya kuwawezesha kuwa na SACCOS
pia kuwasaidia mtaji wa zaidi ya shilingi milioni nane.
Picha zote na Adam Mzee
Social Plugin