Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo la tukio |
Ikiwa ni wiki moja tu baada ya mwanamke mmoja kuchinjwa na mme wake huko Wilayani Nzega mkoani Tabora kwa kile kilichodaiwa kunyimana unyumba kwa wanandoa hao ,matukio ya kikatili yameendelea kujitokeza ambapo ,Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntobo "B" kata ya Ntobo Wilayani Kahama
Mkoani Shinyanga, Monica Elias (40) ameuawa kwa
kuchinjwa wakati akiwa nyumbani kwake kwa
kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
HABARI KAMILI KUHUSU TUKIO HILI ZITAKUJA HIVI PUNDE,TAFADHALI ENDELEA KUSUBIRI......
Social Plugin