MGOMO WA DALA DALA JIJINI MWANZA WALETA KIZAA ZAA ,TAZAMA HAPA JINSI WANANCHI WALIVYOSAFIRI KUELEKEA MAENEO YA KAZI HII LEO
Monday, February 17, 2014
Madereva wa daladala jijini Mwanza leo wameamua kugoma kutoa huduma hiyo muhimu kwa jamii wakiishinikiza serikali kupandisha nauli na kupunguza faini pindi wanapokamatwa na askari wa usalama barabarani....
Baada ya mgomo huo kuanza, abiria walimua kutumia Malori, baiskeli, Toyo Kilimo na pikipiki kama njia mbadala ya kusafiria.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA GSENGO BLOG
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin