Hapa
ilikuwa ni pata shika ambapo dada huyo amewekwa kati huku vijana wa
eneo hilo wakiwa wanapiga kelele huku wakimvua nguo na kumfanyia vitendo
visivyo vya kibinadamu
Anaeonekana
kwa mbali ni mdada ambaye alijitolea kwenda kumsaidia dada huyo ambae
alikuwa amevaa kanguo kafupi ka nusu utupu akikatiza maeneo kituo cha
basi cha mwenge usiku huu
Hapa akiwa amevuliwa nguo na baadhi ya kina mama kumsaidia na kumwingiza katika gari moja wapo ili kumsitili
Umati
wa watu ukiwa umeongezeka na kuzingira basi hilo la abiria na kudai
ashushwe ili waweze kumchapa na viboko kwa kitendo cha kuwadhalilisha
akina dada wengine
NB-Hatukuweza kuweka picha za binti huyo akiwa mtupu kulingana na maadili.
Picha na Dar es salaam yetu
NB-Hatukuweza kuweka picha za binti huyo akiwa mtupu kulingana na maadili.
Picha na Dar es salaam yetu
Social Plugin